Premium ya Familia

Akaunti 6 za Premium kwa wanafamilia wanaoishi pamoja. Ksh 549 kwa mwezi. Ghairi wakati wowote.

Sikiliza pamoja. Sikiliza tofauti.

Mkitumia akaunti tofauti nyote mnaweza kufurahia muziki bila matangazo pasipo kubadilishana.

Thamani bora kwa familia

Wanafamilia wanaoishi pamoja wanaweza kufurahia hadi akaunti 6 za Premium. Utalipa Ksh 549 tu kwa mwezi.

  • Kwa nini ujisajili kwenye Premium ya Familia?

    • Cheza nje ya mtandao. Sikiliza mahali popote.
    • Usikilizaji wa muziki bila matangazo. Furahia muziki bila kikomo.
    • Chagua wimbo wowote. Cheza muziki unaoupenda.
    • Ruka bila kikomo. Gusa tu kitufe cha "inayofuata".
  • Je, tayari unatumia Spotify Premium?

    Ikiwa mtu yeyote kwenye familia yako tayari ana akaunti ya Spotify, anaweza kubadilisha ili atumie mpango wa Familia na bado aendelee kufikia

    • Muziki
    • Orodha za kucheza
    • Mapendekezo

Vidhibiti vya wazazi

Weka vichujio vya maudhui yenye lugha dhahiri kwa ajili ya wanafamilia yako kwenye Premium, ili udhibiti wanachoweza – na wasichoweza – kusikia.

hero_image

Ghairi wakati wowote

Je, Premium ya Familia haikufai? Hamna tatizo – unaweza kughairi wakati wowote unaotaka.

Ni rahisi kujisajili kwenye Premium ya Familia

  • Jisajili au ingia katika akaunti ukitumia akaunti yako iliyopo.

  • Waalike wanafamilia unaoishi nao kwenye Premium.

  • Wanafamilia wanakubali mwaliko wakiwa nyumbani, wanathibitisha anwani yao na watakuwa wamemaliza – nyote mtatumia mpango wa familia. *

* Washiriki wa mpango wa Familia wanapaswa kuishi pamoja ili kujiunga kwenye Premium ya Familia.

Una maswali?

Tuna majibu.

  • Tunashiriki akaunti, au tunapata kila mmoja akaunti yake?

    Kila mwanafamilia anayealikwa kwenye mpango wa Premium ya Familia atapata akaunti yake mwenyewe ya Premium, ili kila mmoja anaweza kucheza muziki wake wakati wowote anapotaka. Hamhitaji kutumia maelezo ya mwingine ya kuingia katika akaunti au kuratibu muda wa kutumia Spotify. Na kwa sababu mnatumia akaunti tofauti, mapendekezo ya muziki yanaendana na mambo yanayowavutia binafsi.

  • Tayari ninatumia Premium. Muziki wangu wote uliohifadhiwa utashughulikiwa vipi?

    Unaweza kujisajili utumie mpango wa Familia ukitumia akaunti yako iliyopo ya Premium na uendelee kutumia muziki uliohifadhiwa, orodha za kucheza na mapendekezo yako yote.

  • Bili hulipwaje? Tunagawana gharama?

    Mtu anayenunua mpango wa Familia atapokea bili moja ya Ksh 549 kila mwezi.

  • Tunaweza kusikiliza tukiwa nyumbani tu?

    Unaweza kusikiliza Spotify popote unapotaka, kwenye kifaa chochote.

Premium ya Familia

Akaunti 6 za Premium kwa wanafamilia wanaoishi pamoja. Ksh 549 kwa mwezi. Ghairi wakati wowote.