Wanafunzi hupata ofa ya kutumia Premium bila malipo kwa mwezi 1

Ksh 169 tu kwa mwezi baadaye. Ghairi wakati wowote.

Ofa inapatikana tu kwa wanachuo katika taasisi ya elimu ya juu iliyothibitishwa. Ofa haipatikani kwa watumiaji ambao tayari wamejaribu Premium. Vigezo na masharti ya Ofa ya Spotify ya Punguzo la Mwanachuo yatatumika.

Sisimua masomo yako

  • Sikiliza muziki bila matangazo

    Soma mpaka machweo. Cheza dansi mpaka alfajiri.

  • Sikiliza nje ya mtandao

    Usiwahi kuwa na wasiwasi kuhusu data tena, popote ulipo.

  • Muziki kwa kila tukio

    Mamilioni ya nyimbo, orodha murua za kucheza.

  • Inavutia kusikiliza

    Premium huleta ubora zaidi wa sauti katika kila wimbo.

Una maswali?

Tuna majibu

  • Je, nimetimiza masharti ya mpango huu?

    Ikiwa wewe ni mwanafunzi aliyejiandikisha katika chuo au chuo kikuu kilichothibitishwa, na una zaidi ya umri wa miaka 18, ndiyo. Unaweza kupata mpango wa Premium ya Mwanachuo kwa hadi miaka 4.

  • Mnathibitishaje kuwa mimi ni mwanachuo?

    Tunathibitisha hali yako ya kujiandikisha chuoni kupitia huduma ya wengine inayoitwa SheerID. Pata maelezo zaidi.

  • Nini kitafanyika kuhusu akaunti yangu nitakapohitimu au kuacha chuo?

    Utaendelea kufikia Premium ya Mwanachuo, kwa hadi miezi 12 kuanzia tarehe uliyojisajili au kuthibitishwa tena mara ya mwisho, wakati mpango bado upo. Ikiwa hutakuwa mwanachuo ifikapo mwisho wa kipindi hicho, hutatimiza tena masharti ya kutumia Premium ya Mwanachuo. Usajili wako utabadilishwa kiotomatiki na kuwa mpango wa Premium ya Binafsi kwa Ksh 339 kwa mwezi.

  • Nitatozwa kiasi gani na lini?

    Utatozwa Ksh 169 kwa mwezi. Iwapo bei itabadilika katika siku za usoni, tutakufahamisha. Unaweza kughairi wakati wowote kwenye ukurasa wa Akaunti yako ya Spotify.