Kutuhusu

Ukiwa na Spotify, ni rahisi kupata muziki au podikasti inayofaa kila tukio – kwenye simu yako, kompyuta yako, tablet yako na zaidi.

Kuna mamilioni ya nyimbo na vipindi kwenye Spotify. Hivyo, iwe unaendesha gari, unafanya mazoezi, upo kwenye sherehe au umetulia tu, unaweza kupata muziki au podikasti inayokufaa kwa urahisi. Chagua unachotaka kusikiliza au uruhusu Spotify ikuchagulie.

Unaweza pia kupitia mikusanyiko ya marafiki, wasanii na watu mashuhuri au uunde stesheni ya redio na utulie usikilize.

Ongeza mdundo maishani kupitia Spotify. Jisajili au sikiliza bila malipo.

Usaidizi na Huduma kwa Wateja

  1. Tovuti ya usaidizi. Angalia tovuti yetu ya usaidizi ili upate majibu ya maswali yako na upate maelezo kuhusu jinsi ya kunufaika zaidi kutokana na Spotify.
  2. Jumuiya. Pata usaidizi haraka kutoka kwa watumiaji wajuzi wa Spotify. Ikiwa hamna jibu la swali lako humo, lichapishe na mtu atajibu haraka. Unaweza pia kupendekeza na kupigia kura mapendekezo mapya ya Spotify au ujadili tu muziki na mashabiki wengine.
  3. Wasiliana nasi. Wasiliana na Usaidizi kwa Wateja usipopata suluhu kwenye tovuti au Jumuiya yetu.

Au chagua mada:

Spotify USA, Inc. hutoa huduma ya Spotify kwa watumiaji nchini Marekani. Spotify AB hutoa huduma ya Spotify kwa watumiaji katika maeneo mengine yote.

Makao Makuu ya Spotify

Spotify AB
Regeringsgatan 19
SE-111 53 Stockholm
Sweden
Reg no: 556703-7485
office@spotify.com

Spotify ulimwenguni kote

Spotify Belgium
Square de Meeus 37
4th floor
1000 Brussels
Belgium
office@spotify.com
Spotify GmbH
Unter den Linden 10
10117 Berlin
Germany
office@spotify.com
Spotify Canada Inc.
220 Adelaide Street West
M5H 1W7 Toronto Ontario
Canada
office@spotify.com
Spotify Denmark ApS
Kampmannsgade 2,
1604 Copenhagen
Denmark
office@spotify.com
SPOTIFY SPAIN SL
Paseo de Recoletos, 7-9
28004 Madrid
Spain
office@spotify.com
Spotify Finland Oy
c/o Intertrust (Finland)
Uudenmaankatu 1-5
00120 Helsinki
Finland
office@spotify.com
Spotify France SAS
48 Rue la Bruyère
75009
Paris
France
office@spotify.com
Spotify India LLP
Jet Airways - Godrej BKC
1st Floor, Unit 1 and 2,
Plot C-68, G Block, Bandra Kurla Complex, Bandra East,
Mumbai Suburban 400051
Maharashtra
India
office@spotify.com
Spotify Italy S.r.l.
Via Joe Colombo 4
20124 Milano
Italy
office@spotify.com
Spotify Netherlands
Singel 540 3h
1017AZ, Amsterdam
Netherlands
office@spotify.com
Spotify Ltd
Adelphi Building
4 Savoy Place
London WC2N 6AT
United Kingdom
office@spotify.com
Spotify USA Inc
4 World Trade Center
150 Greenwich Street, 62nd Floor
New York, NY 10007
USA
office@spotify.com
Spotify Mexico
Pedregal 24 Torre Virreyes Piso 8
Col. Molino del Rey
DF 11040
Mexico
office@spotify.com
Spotify Israel
office@spotify.com
Spotify Technology S.A.
33 Boulevard Prince Henri
L-1724 Luxembourg
office@spotify.com