Sikiliza pamoja.
Sikiliza binafsi.

Mkitumia akaunti mbili tofauti mnaweza kufurahia muziki nyote wawili bila kubadilishana.

Thamani bora kwa wawili

Watu wawili, akaunti mbili tofauti za Spotify Premium kwa UGX 13,000, zote katika bili moja.

  • Kwa nini ujisajili kwenye Premium Duo?

    • Pakua muziki. Sikiliza mahali popote.
    • Usikilizaji wa muziki bila matangazo.
    • Cheza wimbo wowote. Hata kwenye kifaa cha mkononi.
    • Ruka bila kikomo. Gusa tu kitufe cha "inayofuata".
  • Je, tayari unatumia Spotify Premium?

    Ukibadili ili uanze kutumia Duo, utaendelea kupata manufaa yako yote ya

    • Muziki
    • Orodha za kucheza
    • Mapendekezo

Premium Duo ni nini?

Premium Duo ni mpango wa punguzo kwa watu 2 wanaoishi pamoja.

hero_image

Ghairi wakati wowote

Ghairi usajili wa kila mwezi mtandaoni wakati wowote.

Ni rahisi kujisajili kwenye Premium Duo

  • Jiunge na Duo kwa kujisajili au kuingia katika akaunti ukitumia akaunti yako iliyopo.

  • Mwalike mtu unayeishi naye ajiunge kwenye Duo kupitia barua pepe, WhatsApp - yoyote inayokufaa.

  • Anakubali mwaliko akiwa nyumbani, athibitishe anwani yake na atakuwa amemaliza - nyote mtatumia Duo. *

* Ni sharti uishi katika nyumba moja ili ujiunge kwenye Premium Duo.

Una maswali?

Tuna majibu.

  • Tunashiriki akaunti, au tunapata kila mmoja akaunti yake?

    Kila mtu anayetumia mpango anapata akaunti yake mwenyewe ya Premium, hivyo huhitaji kushiriki au kutumia maelezo ya mwingine ya kuingia katika akaunti. Na kwa sababu mnatumia akaunti tofauti, mapendekezo ya muziki yanaendana na mambo yanayowavutia binafsi.

  • Tayari ninatumia Premium. Muziki wangu wote uliohifadhiwa utashughulikiwa vipi?

    Unaweza kujisajili utumie Duo ukitumia akaunti yako iliyopo ya Premium na uendelee kutumia muziki uliohifadhiwa, orodha za kucheza na mapendekezo yako yote.

  • Bili hulipwaje? Tunagawana gharama?

    Mtu anayenunua Duo atapokea bili moja kila mwezi.

  • Tunaweza kusikiliza tukiwa nyumbani tu?

    Unaweza kusikiliza popote ulipo. Baada ya kuthibitisha kuwa mnaishi katika nyumba moja, nyote mnaweza kutumia akaunti zenu za Spotify popote mnapotaka, kwenye kifaa chochote.

Premium Duo. Muziki kwa ajili ya watu wawili.

Akaunti mbili za Premium kwa wachumba wanaoishi kwenye nyumba moja.
UGX 13,000 kwa mwezi. Ghairi wakati wowote.