Cheza nyimbo unazopenda.
Sikiliza nyimbo unazopenda na mamilioni ya zingine.
Orodha za kucheza zimerahisishwa.
Tutakusaidia kutengeneza orodha za kucheza. Au furahia orodha za kucheza zilizotengenezwa na wataalamu wa muziki.
Iwekee mapendeleo.
Tueleze unachopenda na tutakupendekezea muziki.
Okoa data ya mtandao wa simu.
Ili utumie data kidogo unapocheza muziki, washa Kiokoa Data kwenye Mipangilio.
Orodha za kucheza ni njia nzuri ya kuhifadhi mikusanyiko ya muziki, kwa ajili ya kusikiliza wewe mwenyewe au kushiriki.
Ili uunde moja:
1. Gusa Maktaba Yako.
2. Gusa UNDA.
3. Ipe orodha yako ya kucheza jina.
4. Anza kuongeza nyimbo (na tutakusaidia kufanya hivyo).
1. Gusa Mwanzo.
2. Gusa Mipangilio.
3. Gusa Kiokoa Data.
4. Washa Kiokoa Data.
Orodha yoyote ya kucheza yenye aikoni ya changanya itacheza kwa kuchanganya.
Baadhi ya orodha za kucheza hazitakuwa na aikoni ya changanya, hivyo unaweza kugusa wimbo wowote ili uucheze.